Mtoto Yunis mama yake warejea nyumbani, huduma yaanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Baada ya kimya cha takribani miezi minne hatimaye BMG TV imepiga kambi katika Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya mkoani Mara nchini Tanzania kufuatilia huduma ya mtoto Yunis Ogot anayeombea watu wenye shida mbalimbali ikiwemo magonjwa. Huduma hiyo ilisimama kwa muda baada ya mtoto huyo pamona na mama yake kuondoka nyumbani.
TAZAMA>>> HABARI ZAIDI HAPA
No comments: