LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwandishi wa Habari Mwanza afariki kwa uzazi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwandishi wa Habari wa gazeti la Uhuru jijini Mwanza, Blandina Aristides amefariki Dunia wakati akijifungua katika Hospitali ya Kanda Bugando.

Blandina (34) ambaye pia alikuwa Katibu Msaidizi wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa Mwanza (MPC) amefariki Disemba 26, 2023 majira ya asubuhi yeye pamoja na mtoto.

No comments:

Powered by Blogger.