LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Biteko atua Chuo Kikuu SAUT Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameshiriki mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) yaliyofanyika katika viunga vya Raila Odinga chuoni hapo.

Dkt. Biteko amelakiwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mkuu wa Chuo Kikuu SAUT, Mhashamu Baba Askofu Mkuu, Gervas Nyaisonga ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

No comments:

Powered by Blogger.