LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkutano wa wadau sekta ya maji kufanyika Arusha

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wizara ya Maji inawaalika katika mkutano wa wadau wa sekta ya maji utakaofanyika tarehe 13 – 14 Desemba, 2023 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.

Dhumuni kuu la mkutano huo ni Mheshimiwa Waziri wa Maji kuwashukuru wadau mbalimbali wa sekta kwa mchango wao mkubwa wa hali na mali katika kuwezesha mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya maji nchini.

Mgeni rasmi ni Jumaa Hamidu Aweso (Mb), Waziri wa Maji.

Sambamba na hilo, wadau watapewa fursa ya kujadili, kutoa maoni na mapendekezo kwenye Rasimu ya Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2023 na Mpango Mkakati wa Wizara.

No comments:

Powered by Blogger.