Matembezi ya Furaha yafanyika mkoani Kigoma
Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mcha Hassan Mcha na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Salum Kalli tarehe 02 Desemba 2023 wameongoza mbio na matembezi ya furaha pamoja michezo mbalimbali mkoani humo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya shukrani kwa Mlipakodi ambayo imeandaliwa na Ofisi ya TRA Mkoa wa Kigoma.
No comments: