LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbio za Ziro Malaria zafanyika Msalala mkoani Shinyanga

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Afisa Raslimali Watu Mwandamizi wa Barrick Bulyanhulu, Renatus Malawa akiongea na washiriki wa mbio hizo.
Baadhi ya washiriki wakifurahi baada ya kumaliza mbio hizo.


****
Wafanyakazi wa Mgodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu uliopo halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameshiriki mbio za zenye urefu wa kilomita tano, kumi na 21 zilizoandaliwa na mgodi huo ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kuhamasisha kutokomeza ugonjwa wa Malaria yenye kauli mbiu ya ZERO MALARIA INAANZA NA MIMI ,WEWE NA SISI SOTE.

Kampeni hiyo ambayo imezinduliwa karibuni tayari imewafikia wananchi wa kata za wilaya ya Msalala, ambao pia wamegawiwa vyandarua huku mikakati ya kupulizia dawa za kuua mbu majumbani na kwenye mazalio ya mbu zikiwa zinaendelea.
Washiriki wakiwa katika ya pamoja baada ya kupewa medali za kushiriki.
Baadhi ya washiriki wakikimbia.
Baadhi ya washiriki wakikimbia.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.
Washiriki wakipewa medali za ushiriki.

No comments:

Powered by Blogger.