Hali ya Ziwa Victoria si shwari, wadau wapaza sauti
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa (LVRLAC) Kanda ya Tanzania, William Gumbo amesema hali ya uchafuzi wa Ziwa Victoria imeleta athari ikiwemo uhaba wa samaki katika ziwa hilo.
Gumbo ameyasema hayo Aprili 05, 2024 jijini Mwanza wakati wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo inayoundwa na Halmashauri za Kanda ya Ziwa Victoria.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA PIA>>>
No comments: