Mbasha aibukia Kijiji cha Nguruwe
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwimbaji wa nyimbo za injili na mfanyabiashara, Emmanuel Mbasha amemtembelea mradi wa ufugaji nguruwe mkoani Dodoma.
Mbasha amefunga safari kutoka jijini Dar es Salaam hadi Dodoma kwa ajili ya kujionea mradi huo na kukiri kuwa iwapo mwwekezaji huyo atapewa ushirikiano, ataikuza sekta ya uwekezaji, mifugo na biashara ambayo ni maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Mifugo, Abdallah Ulega.
No comments: