LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jiji la Mwanza laendesha oparesheni ya maegesho ya magari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imeanza oparesheni maalumu ya kukusanya madeni ya ushuru wa maegesho ya magari, unaofikia kiasi cha shilingi bilioni 1.8 uliopaswa kulipwa katika kipindi cha mwaka 2022/23 hadi 2023/24.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.