Zuhura Yunus awasili Ofisi ya Waziri Mkuu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo. Zuhura awali alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.
No comments: