LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Buhongwa- Kishiri- Igoma

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula amekagua ujenzi wa barabara ya Buhongwa- Kishiri- Igoma yenye urefu wa kilomita 14 inayojengwa kwa kiwango cha lami kwa shilingi bilioni 22.7.

Mabula amekagua barabara hiyo Jumatano Septemba 25, 2024 na kumwagiza mkandarasi mmsimamizi kampuni ya Interconsult kumsimamia vyema mkandarasi anayejenga barabara hiyo, kampuni ya ZHONGMEI Engineering Group ya China kukamilisha mradi huo kwa wakati.

Kwa mjibu wa mkataba, ujenzi ulianza Novemba 20, 2024 na unatarajiwa kufikia tamati Februari 19, 2025.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.