Wanachama REVOOBIT watembelea Hifadhi ya Saanane
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT wakiwa kwenye eneo la 'Jumping Stone' walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kiwa cha Saanane kilichopo Ziwa Victoria jijini Mwanza.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT walifanya ziara ya utalii katika Kisiwa cha Saanane kuunga mkono jitihada za Serikali kuhamasisha utalii kupitia filamu ya Tanzania, The Royal Tour.
Kampuni ya kimataifa ya REBOOVIT hutumia mimea na miti mbalimbali kuzalisha dawa kwa ajili ya tiba ya magonjwa mbalimbali hasa yasiyoambukiza ikiwemo presha, kisukari na kansa hivyo ziara katika kisiwa cha Saanane pia ililenga kuhimiza utunzaji wa mazingira hasa misitu ili kuendelea kupata malighafi mbalimbali zinazotumika kwenye tiba.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT wakiwa kwenye kisiwa cha Saanane jijini Mwanza.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT wakijionea ndege aina ya Tausi katika kisiwa cha Saanane.
Wafanyakazi na wanachama wa kampuni ya kimataifa ya REVOOBIT wakiruka katika eneo la Jumping Stone katika kisiwa cha Saanane.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: