Bilioni 143 kuondoa changamoto ya maji Sikonge Kaliua
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kiasi cha shilingi bilioni 143 kilichotolewa na Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kinatekeleza mradi wa maji kwenye miji 28 ikiwemo Sikonge,Urambo na Kaliua mkoani Tabora inayotekelezwa na mkandarasi Megha Engineering ambayo imefikia asilimia 50 na inatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2025
Kukamilika kwa miradi hiyo ya maji katika maeneo hayo kutafanya upatikanaji wa maji kwa Sikonge, Urambo na Kaliua kuwa zaidi ya asilimia 90 na wakazi 490,000 watapata huduma ya majisafi na salama.
#KaziInaongea
No comments: