Viongozi wa dini Mwanza wasisitiza haki Uchaguzi Mdogo 2024
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kuelekea kwenye Uchaguzi wa Mdogo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, wananchi wamehimizwa kufuatilia kampeni za wagombea ili kuwachagua viongozi waadilifu watakaoshirikiana pamoja katika masuala mbalimbali ikiwemo maendeleo.
Rai hiyo imetolewa Ijumaa Novemba 08,2024 wakati wa kongamano la kuhamasisha wananchi kutoka makundi mbalimbali ya kijamii katika wilaya ya Magu mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> SOMA HABARI ZAIDI HAPA
No comments: