Duka jipya la Zahor Matelephone lafunguliwa Mwanza, wananchi wapewa simu bure
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda ameongoza zoezi la ufunguzi wa duka jipya la simu la Zahor Matelephone katika Mtaa wa Lumumba jijini Mwanza, Ijumaa Novemba 29, 2024.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria ufunguzi wa duka hilo wamebahatika kuondoa na simu mpya zilizotolewa bure na Zahor Matelephone ikiwa ni sehemu ya shukurani kwa kukaribishwa vizuri na wana Mwanza.
Mwonekano wa duka jipya la simu la Zahor Matelephone lililopo Mtaa wa Lumumba jijini Mwanza.
Wananchi wakigawiwa simu bure na Zahor Matelephone ambapo Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda ameongoza zoezi hilo baada ya kufungua duka la simu mtaa wa Lumumba.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: