LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kongamano kubwa la watu wenye ulemavu lafanyika Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kongamano la watu wenye ulemavu lililoandaliwa na kituo cha kulea watoto wenye ulemavu HURUMA kupitia jukwaa la Pamoja Consortium limeanza Ijumaa Januari 17, 2025 jijini Mwanza na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 500.

Kongamano hilo litahitimishwa Jumamosi Januari 18, 2025 kwa kutoka na maazimio ya pamoja ambayo wadau na Serikali wakiyatekeleza, yatasaidia kuboresha ustawi wa watu wenye ulemavu mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.