Shehena ya viti kwa ajili ya MV Mwanza yawasili
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shehena ya viti kwa ajili ya meli mpya ya MV Mwanza imewasili Jumatatu Machi 24, 2025 kwa ajili ya kufungwa, ambapo matarajio ni mkandarasi kukabidhi meli hiyo mwezi Mei 31, 2025.
Moja ya kontena lenye viti vya meli mpya ya MV Mwanza likishushwa.
Muonekano wa viti kwa ajili ya meli mpya ya MV Mwanza.
Tazama BMG TG hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: