Mwanza wamtunuku tuzo na zawadi kedekede Rais Samia
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Makundi mbalimbali ya wanawake mkoani Mwanza yameungana pamoja na kumtunuku tuzo na zawadi mbalimbali Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake katika kuwatumikia watanzania hasa kutatua kero za wanawake.
Tuzo hiyo imekabidhiwa Alhamisi Machi 06, 2025 wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ngazi ya Mkoa Mwanza yaliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana ambapo kilele cha maadhimisho hayo ni Machi 08, 2025 kitaifa jijini Arusha.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: