Dkt. Catherine Joachim achukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalum
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mjumbe wa Kamati ya Afya na Mazingira ya Umoja wa Wazazi Taifa, Dkt Catherine Joachim amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa Viti Maalum katika Jumuiya ya Umoja wa Wazazi.
Dkt Joachim amekabidhiwa fomu hiyo tarehe 29 Juni 2025 na Costancia Kafwile ambaye ni Katibu wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Kilimanjaro.
No comments: