LIVE STREAM ADS

Header Ads

LIVE: Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa wa Tanzania, Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Tazama hapa Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Tanzania ambayo hufanyika kila mwaka Julai 25 ambapo kwa mwaka huu 2025 yanafanyika kitaifa jijini Dodoma, mgeni rasmi wakiwa ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Pia fuatilia hapa chini mahojiano na mmoja wa wavuvi katika Ziwa Victoria ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani ambayo pia hufanyika kila mwaka Julai 25.

No comments:

Powered by Blogger.