MGOMBEA CHAUMMA MISUNGWI AWEKA WAZI VIPAUMBELE VYAKE
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CHAUMMA katika Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Mussa Mwika (kushoto), amefanikiwa kurejesha fomu INEC na kuweka wazi vipaumbele. Mwika amerejesha fomu siku ya mwisho ya kuhitimisha zoezi hilo, Jumatano Agosti 27, 2025.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: