LIVE STREAM ADS

Header Ads

MGOMBEA UDIWANI PASIANSI MWANZA AREJESHA FOMU

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mgombea udiwani Kata ya Pasiansi, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Regina Sylivester Lubala amerejesha fomu katika ofisi za ndogo za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo katika Kata hiyo.

Lubala amerejesha fomu hiyo Jumatano Agosti 27, 2025 na kuahidi kuendeleza kazi nzuri ya maendeleo iliyofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kata ya Pasiansi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.