WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YA UMEME
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wananchi wamehimizwa kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutumia vifaa vilivyoboreshwa vinavyotumia nishati ya umeme, hatua itakayosaidia kupunguza gharama huku wakijiepusha na madhara ya nishati chafu ikiwemo mkaa na kuni.
Hayo yamebainishwa Alhamisi Agosti 21, 2025 na Mhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme kutoka Shirika la TATEDO- SESO/ SESCOM, Dora Urio wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa wakati wa Jiji la Mwanza maarufu kama ‘Pika Smart’.
Nao baadhi ya wananchi akiwemo Amina Jumanne wamekiri kuwa nishati chafu ikiwemo mkaa ina gharama kubwa pamoja na athari za kiafya na hivyo kuomba Serikali kusaidia wananchi kupata majiko ya nishati safi kwa gharama nafuu.
Mhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme kutoka Shirika la TATEDO- SESO/ SESCOM, Dora Urio
Mhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme kutoka Shirika la TATEDO- SESO/ SESCOM, Dora Urio akizungumza na wanahabari wakati wa utoaji elimu kwa wananchi jijini Mwanza.
Mhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme kutoka Shirika la TATEDO- SESO/ SESCOM, Dora Urio akitoa elimu ya nishati safi kwa wananchi jijini Mwanza.
Mhamasishaji wa Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme kutoka Shirika la TATEDO- SESO/ SESCOM, Dora Urio akitoa elimu ya nishati safi kwa mamalishe.
Wananchi jijini Mwanza wakipata elimu ya nishati safi ya kupikia ya umeme.
Wananchi jijini Mwanza wakipata elimu ya nishati safi ya kupikia ya umeme.
Wananchi jijini Mwanza wakipata elimu ya nishati safi ya kupikia ya umeme.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Medical Research jijini Mwanza akitoa shukurani kwa shirika la TATEDO- SESO/ SESCOM kwa kushirikiana na Serikali kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme kwani itawapunguzia wananchi gharama.
Wananchi wakipata elimu ya nishati safi ya kupikia ya umeme katika eneo la Kirumba Mwaloni jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: