LIVE STREAM ADS

Header Ads

DC NYAMAGANA AHIMIZA AMANI, KAZI HALALI ILI KUFIKIA MAENDELEO

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com 
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amina Makilagi amewahimiza wananchi na watendaji wa Serikali kuendelea kushirikiana huku wakijiepusha na viashiria vya uvunjifu wa amani hatua itakayosaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Makilagi aliyasema hayo Jumatatu Februari 09, 2026 wakati wa kikao cha Baraza la Ushauri Wilaya ya Nyamagana (DCC), kilicholenga kujadili na kupitisha makadiria ya bajeti ya wilaya hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27.
Tazama Video hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.