LIVE STREAM ADS

Header Ads

ONA MADHARA YA MADAWA YA KICHINA YA KUONGEZA MAKALIO.

Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za kuongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au labda haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja,angalia hapa alafu utapata jibu utumie au ubaki na maumbile yako ya halisi.

Huu ni mfano tu wa makalio yaliyoungua na kuoza baada ya kukuzwa na mchina.Kutoka kwa Elvis Kimei
Elvis Kimei's photo.


No comments:

Powered by Blogger.