LIVE STREAM ADS

Header Ads

HII NI VIDEO YA MSANII KUTOKA MWANZA. ALICHOKIFANYA HAKIELEZEKI. ZAMA NDANI MWENYEWE.

Mc.Darada.
Anafahamika Kwa Jina la Mc.Darada. Ni Msanii Kutoka Jijini Mwanza. Huu ni Wimbo ambao unafahamika kama Kikombe. Ni wimbo ambao uliomuweka Kwenye Chat ya Music wa Hapa nyumbani Tanzania. Baada ya Video hii, kuna Video ya Wimbo wake Mpya anatarajia Kuiachia Soon. Endelea kutembelea Mtanzania Media ili Kuitazama Video Hiyo.
Kwa sasa pata nafasi ya Kutizama Video ya Wimbo huu unaokwenda kwa jina la Kikombe Uone alichokifanya kama kinastahili kulingana na hadhi na jina lake lilivyo.


Na:George Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media

No comments:

Powered by Blogger.