LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMA UKO KATIKA MFUNGO WA RAMADHANI, SAMAHANI USIINGIE KUTIZAMA HIZI PICHA. CLUB KUNA VITUKO SANA.

Mc.Darada (Kulia) Msanii kutoka Jijijini Mwanza ambae anatamba na ngoma kadhaa ikiwemo ile inayofahamika kama Kikombe akiwa na Shabini wake Klabu. Darada ana nyota kiukweli....ile kuingia tu klabu kila mtu "Jamani Daradaaaaaa Mzee wa Kikombeeee naomba tupige Pichaaaa".Yaani amsha amsha zilikuwa za kutosha usiku wa leo (Jumamosi) ndani ya Club Bottom @Gold Crest Jijini Mwanza. Hizi picha zimekaa kistarehe zaidi tunaomba radhi kama hautazifurahia but ni vyema ukazitizama zote maana zina raha yake.
Am Coming Soon....hahahahahahaaaa GB Pazzo bwana ana maisha yake ya pekee kiukweli.
Kunyweni lakini Msilewe!
"Mama watoto ninachotaka Kikombee weeee....tuimbe wote...huyu jamaa ni balaaa"@Mc.Darada ndani ya Club Bottom-Gold Crest.
Mc.Darada (Katikati) akishow love na Mashabiki zake. Ahsante kwa kutembelea Mtanzania Media...The same time wengine nao wakifanya yao in ze Club.

No comments:

Powered by Blogger.