LIVE STREAM ADS

Header Ads

LEO KATIKA HISTORIA. JULY 07 ALIZALIWA MTANGAZAJI HUYU NCHINI TANZANIA.

Wapo wengi ambao wamezaliwa tarehe kama ya leo kwa maana ya July 07 Mwaka ama Miaka Kadhaa iliyopita. Kama Umezaliwa leo basi Mtanzania Media inachukua fursa hii kukutakia HAPPY BIRTY DAY. Najua wapo wengi hivyo kuwataja kila mmoja kwa jina ni vigumu sana, lakini kwa Wingi wenu naamini Mtakuwa mnafurahia kuzaliwa Kwenu hii leo. Baada ya maelezo hayo, Mtanzania Media pia inapenda kutumia nafasi hii Kumtakia FRANK M.JOACKIM ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro na Blogger wa Black Touchez kwa Kuzaliwa Tarehe kama ya leo Miaka kadhaa iliyopita.Mungu akuzidishie zaidi Moyo wa Kupenda kufanya kazi zaidi ili kutimiza ndoto na Malengo uliyonayo hususani katika Tasnia hii ya Habari. Happy Birth Day!!!!!!Happy Birth Day!!!!!Happy Birth Day!!!!!Happy Birth Day!!!!!!Happy Birth Day!!!!!
"One Love watu wangu" Happy Birth Day!!!!!!Happy Birth Day!!!!!Happy Birth Day!!!!!Happy Birth Day!!!!!!Happy Birth Day!!!!!
"No Matter What, I dont give up my Smile". Happy Birth Day!!!!!!Happy Birth Day!!!!!Happy Birth Day!!!!!Happy Birth Day!!!!!!Happy Birth Day!!!!!

No comments:

Powered by Blogger.