LIVE STREAM ADS

Header Ads

SAMAHANI KWA HIZI PICHA ZA WATANGAZAJI WA METRO FM. KAMA UNA HASIRA PITA PEMBENI.

George Binagi GB Pazzo-Mwanaharakati (Kushoto) akiwa na Edna Elisha akaNatty E (Kulia) Wakishow love na Mtanzania Media huku wakiwa Wametupia Kitu cha Arusha Boy. Wote ni watangazaji wa 99.4 Radio Metro ya Jijini Mwanza huku Natty E akiwa ni Msanii wa Hip Hop Pia na GB akiwa nae pia ni Blogger wa Mtanzania Media. Tumeomba Radhi mapema maana hizi Picha ni za kawaida sana hivyo kama hazikuvutii tuwie radhi ila ni vyema ukazitizama zote.
GB Pazzo (Kushoto) Akiwa na Yusufu YusKiss Kisiba (Kulia). Yusufu ni Mtaalamu wa IT na ana uwezo Mkubwa katika Kutengeneza Blogs na Websites sanjari na kubuni Logos, Banners nk.
Natty E (kushoto) akiwa na Yusufu Kisiba (Kulia) wakishow Love na Mtanzania Media.
GB Pazzo (kushoto) akishow love na Yusufu Kisiba (Kulia).
GB Pazzo (Kushoto) akiwa na Natty E (Kulia).
Natty E (kushoto) akiwa na Yusufu Kisiba wakishow Love na Mtanzania Media.Mtanzania Media inakutakia utazamaji mwema wa picha. Kwa wale wanaohitaji huduma zetu wanakaribishwa sana.
Tumeomba Radhi mapema maana hizi Picha ni za kawaida sana hivyo kama hazikukuvutia tuwie radhi.

No comments:

Powered by Blogger.