LIVE STREAM ADS

Header Ads

WASANII WATAKAOSHAMBULIA JUKWAA LA SERENGETI FIESTA 2014 MKOANI MWANZA HII LEO NI HAWA HAPA.

Ni Jukwaa Moja, Wasanii Kibao. Naizungumzia Serengeti Fiesta 2014 ambayo leo Octoba 09 Utepe unakatwa Mkoani Mwanza katika Uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya Saa Kumi na Moja Jioni Mpaka Kuchwee kwa Kiingilio cha Shilingi 5,000 pekee. Tangu jana Wasanii watakaopafomu katika Show hiyo wamekwisha ingia Jijini Mwanza, tayari kwa ajili ya Kuukata utepe wa Serengeti Fiesta 2014 Mkoani Mwanza.
Miongoni mwa Wasanii hao ni pamoja na pamoja na Ney wa Mitego,Young D,Mr.Blue, Barakah Da Prince,Chegge na Temba, Madee, Makomando, Stamina,Young Killer,Vanessa Mdee na wengine kibao. Lakini pia Super Nyota Divaz Mkoani Mwanza ambae ni Honeya ataungana na Wasanii hao kwa ajili ya amsha amsha za Serengeti Fiesta 2014. N i hiviii "Tusambaze Upendo katika Serengeti Fiesta 2014 Then inakuwa ni SHEEEEDA"! PIA DIAMOND TAYARI YUKO JIJINI MWANZA SO SOON TUTAWEKA PICHA ZAKE.
 
 
 
 
Mtu wako wa Nguvu Millard Ayo @Clouds FM & Millardayo.com akishow love na GB Pazzo @Metro FM & Mtanzania Media.
Na: George Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media.

No comments:

Powered by Blogger.