LIVE STREAM ADS

Header Ads

BRAND NEW SONG: BLACK D-NIMETAMBUA.

Kama ilivyokawaida ya Binagi Blog-BMG kukuletea kazi mbalimbali za Vijana wanaoingia katika Sanaa, basi leo kwa heshima na taadhima tunamleta kwenu msanii ambae anafanya mishe zake za Mziki Rock City Mwanza.

Mshikaji anafahamika kwa jina la Black D (Pichani) ambapo anakuja katika mziki kwa kasi ya Farasi na Ngoma yake inayofahamika kwa jina la Nimetambua.Katika ngoma hiyo pia amewapa shavu washkaji ambao ni Swaggs Mc na Rama Q huku kazi hiyo ikiwa imesukwa kutoka pande za X2 Records Mwanza.

Akipiga story na Binagi Blog-BMG, Black D anasema kuwa msanii bila mashabiki na wadau wengine wanaosupport Mziki, msanii hawezi kufanikiwa, hivyo anawasihi wadau mbalimbali kuzidi kusupport kazi yake huku akiwaahidi kutoa kazi nyingine zenye mafunzo zaidi.Huyu mshikaji anapatika kwa nambari za simu ambazo ni 0757 85 35 66.
ISIKILIZE NA KUIDOWNLOAD HIYO NGOMA HAPA.

No comments:

Powered by Blogger.