LIVE STREAM ADS

Header Ads

BRANDY NEW VIDEO: MR. B ft. DOGO FRANK-MASKINI.

Msanii Mr.B kutoka Rock City Mwanza.
Hii ni Video Mpya ya Mwanetu Kutoka Rock City Mwanza, Anafahamika kwa Jina la Mr.B ikiwa ni jina jipya linalotumika kwa sasa kwani jamaa hapo awali alikuwa akifahamika kwa jina la
JB kwa ya Kuchange na Kutumia Jina hilo la Mr.B.

Jina la Video ni Maskini ambapo humu ndani kapewa Shavu jamaa anafahamika kwa jina la Dogo Frank.
TAZAMA HAPA CHINI VIDEO YA MR.B ft.DOGO FRANK-MASIKINI.

Msanii Mr.B kutoka Rock City Mwanza.
HII PIA NI MOJA YA MIKWAJU YAKE MR.B-NGOMA INAITWA BABY COME.

Na: George Binagi-GB Pazzo.

No comments:

Powered by Blogger.