LIVE STREAM ADS

Header Ads

MDAU AWAANDALIA WADAU WA BINAGI MEDIA GROUP KEKI.

Wadau wa BINAGI MEDIA GROUP Juzi Jumamosi April 25, 2015 walikutana katika Viunga vya River Side Hotel Kiloleli Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza kama ilivyo ada ya wadau hao kukutana mara mbili kwa mwezi kwa ajili ya kubadilishana mawazo. Kumbuka wadau hao pia wanapatikana katika Group la Whatsupp ambapo masuala mbalimbali hujadiliwa ikiwa ni pamoja na namna ya kuwezeshana kiuchumi na katika masuala tofauti tofauti ya kijamii.

Siku hiyo pia mmoja wa Wadau wa Binagi Media Group alikuwa akitimiza Miaka Kadhaa ya kuzaliwa kwake hivyo Mdau mwenzao ambae ni Agness kutoka Ofisi ndogo za Airtel zilizopo Nyegezi Jijini Mwanza aliweza kuandaa Keki kwa ajili ya shughuli hiyo. 
TAZAMA PICHA ILIVYOKUWA
Picha na Agness-Binagi Media Group

No comments:

Powered by Blogger.