Home
BURUDANI
HII NI FURSA NYINGINE ALIYOIPATA MKALI DIAMOND KATIKA SHOW YA JEMBEKA FESTIVAL OYOMBA YES!
HII NI FURSA NYINGINE ALIYOIPATA MKALI DIAMOND KATIKA SHOW YA JEMBEKA FESTIVAL OYOMBA YES!

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.Diamond alipata Fursa ya Kumlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe! TAZAMA PICHA.
Na:Gsengo

Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza, ndani ya Tamasha la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.

Cake ya uzinduzi.

Diamond Platnumz na stage la JEMBEKA FESTIVAL = OYOMBA YES..

Diamond Platnumz Dangote akiwa amebebwa juu na Dancers wake!
HII NI FURSA NYINGINE ALIYOIPATA MKALI DIAMOND KATIKA SHOW YA JEMBEKA FESTIVAL OYOMBA YES!
Reviewed by BMG Media
on
May 27, 2015
Rating: 5

No comments: