LISTEN NEW HATARIAZI NGOMA KUTOKA KWAKE KING SAM MZALENDO-WALE WALE
Pata time ya Kumsikiliza Mshikaji kutoka Jijini Mwanza ambae anafahamika kisanaa kwa jina la King Sam Mzalendo katika Track yake inayokwenda kwa jina la Wale Wale ambayo amempa shavu Msanii AJ ambapo ni Mkono wa Producer Y.Lee kutoka Rock Town Mwanza.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA IDARA YA MUZIKI-BINAGI MEDIA GROUP
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA IDARA YA MUZIKI-BINAGI MEDIA GROUP
No comments: