LIVE STREAM ADS

Header Ads

MTANGAZAJI WA RADIO METRO SAMWEL CHEM AELEZA SIRI NZITO KUHUSU MKEWE MTARAJIWA.

Mtangazaji wa Radio Metro ya Jijini Mwanza Samwel Chem
Na:George GB Pazzo
Hatimaye leo Binagi Radio tumemnasa Mtangazaji wa Radio Metro ya Jijini Mwanza Samwel Chem ambae amejipatia Umaarufu Mkubwa kupitia kipindi cha Malavidavi kinachoruka katika Radio hiyo kiitwacho Upepo wa Mahaba kinachoruka hewani kila siku za wiki kuanzia saa nne za Usiku.

Kubwa zaidi ni kujua Chem ambae ana umri wa zaidi ya Miaka 25, leo hii akihitaji kuoa ni vigezo gani atavizingatia katika kumpata Wife, lakini pia amezungumzia tetesi zilizozagaa kuwa anatongozwa sana Radio huku pia akiweka bayana ni lini anaoa.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA BINAGI RADIO                                                 MAHOJIANO MENGINE BOFYA HAPA
                                               BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS

No comments:

Powered by Blogger.