RAUL GONZALEZ AMUINULIA MESSI MIKONO JUU.
Na:Genya Richard
Mchezaji wa
zamani wa timu ya Real Madrid Raul Gonzalez amemuiinulia mikono juu
mshambuliaji wa Barcelona Lionel Mess kwa kile alichikisema kuwa amecheza na
wachezaji wengi zaidi ambao ni pamoja na Ronaldo, Zidane, Figo na wachezaji
wengine lakini kwake mshambuliaji Messi ndie mchezaji wa kipekee anaemkubali
katika soka.
Gonzalez amesema amebainisha mbali na Messi, huenda
mchezaji Baggio au Ryan Giggis ndio wachezaji anaoweza kuwafananisha na Messi japo
hawawezi amekiri wazi kuwa hawawezi kumfikia Messi.
Itakumbukwa kuwa Messi alishawahi kumsifia Gonzalez kuwa
ni mchezaji mwenye upendo na wanamichezo wengine ambapo pia aliwahi kumpongeza
alipotundika mabao katika lango la Barcelona.
No comments: