LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIKU WA MDUARA NDANI YA MASHY HOTEL JIJINI MWANZA WAACHA GUMZO KUBWA.

Ilikuwa ni pale pale katika Kiota cha Burudani Mashy Hotel kilichopo Nyakato National Jijini Mwanza ambapo ilipigwa Show kali iloyopewa jina la USIKU WA MDUARA. Show hiyo imeacha gumzo kubwa Jijini Mwanza baada ya Mkali wa Mduara nchini Msanii AT kupagawisha wana Rock City ile Kinomanoma. Show hiyo ilipigwa juzi ijumaa May 29. Kama uliikosa Show hii, jipange kwa show ijayo.
BINAGI MEDIA GROUP
AT akiwa stejini akipagawisha.
HATAREEEEEE.....VIUONOOOOO VIUONOOOOOO
The Pipoooooooozzzzzzzzzzzzzzzzz ndani ya Mashy Hotel wikendi hii

No comments:

Powered by Blogger.