LIVE STREAM ADS

Header Ads

NEW HIT SONG: IVAN CLASSIC-NIPE HEKIMA (MOLA).

Kwa mara nyingine tena IVAN CLASSIC ambae ni Msanii wa Hip Hop anawatimulia vumbi wasanii chipukizi wa Miondoko hiyo Jijini Mwanza, ameachia ngoma nyingine ambayo tayari imeanza kuwa homa ya Jiji la Mwanza na Bongo nzima kwa ujumla.

Binagi Radio ya Binagi Media Group imeinyaka ngoma hiyo ambayo inafahamika kwa jina la NIPE HEKIMA (MOLA) ambayo imesukwa katika Studio za PANGO RECORDS hivyo pata time ya Kuisikiliza na Kuipakua pia hapa mtandaoni.

Kumbuka katika ngoma hiyo Ivan Classic amemshirikisha Mkali wa mwingine aitwae KELOISA ambae amehusika vyema katika kiitikio. 
Salute kwake Jimmy Nizzle Inc kwa kukisimamia vyema kipaji cha Ivan Classic
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA

No comments:

Powered by Blogger.