LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY MWANALIBENEKE BABU WAMBURA.MOLA AZIDI KUKUSIMAMIA KATIKA VIPAWA VYAKO.


Anaitwa Babu wambura ambae ni Kijana kutoka Mkoani Mara aliekita Mizizi yake Jijini Mwanza kwa ajili shughuli zake. Ni Mwanalibeneke ambae ana vipawa vingi ambapo hadi sasa ni Blogger (Mwanalibeneke) @Wambura Babu Blog, Mtalaamu wa IT, Films and Video Director @Mahinda Films Production na C.E.O wa Tecno Kweli Tanzania.

Wambura alizaliwa Julai 03 miaka kadhaa iliyopita hivyo hii leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake hivyo Binagi Media Group inamtakia kila la kheri katika maisha yake hususa Mwenyezi Mungu azidi kumbariki na kumsimamia vyema katika Vipawa vyake ili aendelee kuwatumikia watanzania.

"Ahsante Mungu kwa kunifikisha hapa nilipofika na kunipa nguvu, kwa Uweza wako leo 03/07/2015 natimiza Miaka Kadhaa ya kuzaliwa kwangu. Sifa na Utukufu navirudisha kwako ulie Mkuu. Happy Birth Day to Me". Wambura amesema Wambura wakati akizungumza na Binagi Media Group.
                                         Binagi Media Group

No comments:

Powered by Blogger.