LIVE STREAM ADS

Header Ads

NGOMA MPYA YA ABI J-WALE IKO VIZURI. NAAMINI HATA WW UTAIKUBALI.

Hii ni ngoma Mpya ya Msanii chipukizi kutoka Rock City Mwanza aitwae ABI J. Ngoma hii inakwenda kwa jina la WALE ikiwa ni ngoma ambayo jamaa kaitendea haki ipasavyo.

Kwa namna alivyoimba naamini ya kwamba ukiisikiliza mara mbili mbili lazima utaielewa hii ngoma but kama hautailewa basi usisite Kuchukua time yako ili kumshauri maana ushauri wako una nafasi kubwa katika kuukuza huu mukizi wa kizazi kipya.0767 35 88 34
BONYEZA PLAY HAPA NCHINI USIKILIZE THEN UPAKUE WALE BY ABBY J                                                  Supported by Binagi Media Group

No comments:

Powered by Blogger.