LIVE STREAM ADS

Header Ads

HASI 15 YA NASH MC NI AUDIO NA VIDEO BORA KABISA YA HIP HOP MWAKA 2015 HAPA TZ.

Anaitwa Nash Mc ambae ni Msanii wa Hip Hop anaeiwakilisha vyema Tanzania tangu mwaka 2000 alipoingia kwenye game. 

Msimamo wake juu ya Hip Hop haujabadilika kamwe kama ambavyo imekuwa ikionekana kwa baadhi ya wasanii wa Hip Hop Tz wakifanya. Bado Nash Mc anaamini mafanikio yake ya Muziki yanapatikana katika Misingi ya Hip Hop.

Nash Mc kwa sasa ana Video Mpya inayoitwa -15 yaani HASI KUMI NA TANO. Ni Video bora kabisa ambayo imejaa ubunifu wa mashairi yenye kukuacha na tafakuri ambapo Nash anajaribu kuelezea mambo mbalimbali yaliyojikita katika misingi ya Changamoto, matatati na mambo mengine mengi kama hayo katika kipindi cha miaka 15 sasa tangu aanze kazi ya Muziki.
Bonyeza Play Hapa chini Kutazama Video Hiyo

BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.