LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAHOJIANO NA BALOZI AMINA SALUM ALLY KATIKA KIPINDI CHA JUKWAA LANGU.

Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifafanua jambo ndani ya Kilimanjaro Studio.
Na:Kwanza Production
Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015.

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA katika kuelekea uchaguzi nchini humo.

Katika kipindi cha wiki hii tumebahatika kuungana na Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika nchini Marekani Mhe.Amina Salum Ali, Karibuni sana kusikiliza...

No comments:

Powered by Blogger.