LIVE STREAM ADS

Header Ads

HIZI NDIZO AUDIOZ NA VIDEOZ KALI ZA UPCOMING ARTISTS ZILIZONYAKWA NA BINAGI MEDIA GROUP.

Hii ni Video Cover kutoka kwake ELIZAYO HB kutoka Jijini Mwanza inayoitwa NAFURAHI KUWA NAWE na inatarajiwa kutoka Rasmi Wiki hii ndani ya Club bOTTOM Gold Crest na utaicheck Kupitia Binagi Tv soon itakapozinduliwa rasmi.
Hii ni Cover Audio ya Msanii IDALY CLASSIC kutoka Jijini Dar es salaam iitwayo LONGOLONGO. Tayari ngoma hii imeachiwa na inapatikana kupitia Binagi Radio Online na inasikika pia kupitia Radio Stations mbalimbali hapa nchini.
Hii ni Cover Song ya Msanii G-STANZA kutoka Rock City Mwanza, Mwanza iitwayo MAKE MONEY na tayari imekwisha achiwa.
Hii ni Audio Cover ya Msanii ALE ONE kutoka Jijini Mwanza iitwayo LAZIMA NIWE na iliachiwa jumamosi iliyopita so bado ni ya moto hivyo itafute ili uweze kuisikiliza.
Hii ni Audio Cover ya Msanii LAU WA JOHN kutoka Jijini Mwanza na ngoma yenyewe inaitwa BADO NIKO NAE. Ngoma hii inafanya poa sana katika Media za Mwanza na Inapatikana kupitia Binagi Radio Online so itafute ili uisikilize.
Cooming soon kutoka kwa Msanii LAU WA JOHN na ngoma inaitwa WEE KINARA so endelea kutembelea Mtandao huu ili uwe wa kwanza kuinasa ngoma hiyo kupitia Binagi Radio Online.
Hii bado ni ya moto na soon utapata fursa ya kuisikiliza kupitia Binagi Radio Online. Ni Audio kutoka kwake Msanii MELODIC iitwayo NITAKACHO.
BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS-0757 43 26 94 & binagimediagroup@gmail.com

No comments:

Powered by Blogger.