LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAPOKEZI YA LOWASA YATIA FORA MWANZA. BAADHI WAZIMIA. NUSRA MKUTANO UAHIRISHWE.

Umati wa Watu waliojitokeza jana katika Uwanja wa Furahisha kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Chadema kupitia Umoja wa Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Mh.Edward Ngoyai Lowasa.
 BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA

Mh.Lowasa akiwapungia mkono wananchi baada ya kuwasili Uwanjani
Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, Katikati ni Mgombea Urais kupitia Ukawa Edward Lowasa na Kulia ni Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji.
Mbunge wa Nyamagana anaemaliza muda wake Ezekiel Wenje (Katikati) akiwa na makada wengine wa Ukawa.
Ezekiel Wenje Akisalimia
Ezekiel Wenje (Kushoto) akiwa na Lawrence Masha (katikati) waliosimama.
James Lembeli
James Lembeli (Kushoto) akiwa pamoja na Khamis Mgeja (Kuatikati) waliosimama
Ester Matiko
Ester Bulaya
Vicent Nyerere
Salvatory Machemli
Makada
Makada
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii
Picha na Iman Heziron

No comments:

Powered by Blogger.