LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA ALICHOKISEMA AMTANGAZAJI MAHIRI NCHINI ALPHONCE KAPELA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

Agost 12 miaka kadhaa iliyopita alizaliwa Mkuu wa Vipindi na Mtangazaji wa 99.4 Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza Alphonce Tonny Kapela (Dr.Tonny).
Binagi Media Group
Anasifika kwa Umahiri na Utendaji kazi uliotukuka katika tasnia ya Habari nchini, ambapo amewahi kufanya kazi na Radio Five ya Jijini Arusha, Safari Radio ya Mkoani Mtwara na sasa Radio Metro ya Jijini Mwanza akiwa ni Mkuu wa Vipindi na Mtangazaji wa Radio hiyo.

Huyu si mwingine bali ni Alphonce Tonny Kapela a.k.a Dr.Tonny ambae Agosti 12, 1980 alizaliwa hivyo jana alitimiza miaka 35 ya kuzaliwa kwake. 

Binagi Radio ya Binagi Media Group imepiga story na Dr.Tonny ambapo amezungumza mambo nyeti sana kuhusiana na alikotoka na anakoenda.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA

Agost 12 miaka kadhaa iliyopita alizaliwa Mkuu wa Vipindi na Mtangazaji wa 99.4 Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza Alphonce Tonny Kapela (Dr.Tonny).
Binagi Media Group, Happy Born Day Dr.Tonny...Hakika Mchango wako dhidi yetu hautaweza kusahaulika.

No comments:

Powered by Blogger.