LIVE STREAM ADS

Header Ads

MISATAN YAWATUNUKU VYETI VYA USHIRIKI WANAHABARI KANDA YA ZIWA.

Waandishi wa Habari Kutoka Kanda ya Ziwa, Wakufunzi na Wawakilishi kutoka Taasisi za MISA Tanzania na CIPESA kutoka nchini Uganda wakiwa katika picha ya pamoja baada mafunzi ya siku mbili yaliyoandaliwa na taasisi hizo yakiwa yamelenga kuwajengea Uwezo wa Kuandika na Kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu hapa nchini.

Mafunzo hayo yaliandaliwa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika na yalifanyika juzi jumatatu na kutamatishwa jana jumanne Jijini Mwanza katika Ukumbi uliopo Mwanza Hotel ambapo washiriki waliweza kutunukiwa vyeti vya ushiriki.
Na:Binagi Media Group
Waandishi wa Habari Kutoka Kanda ya Ziwa, Wakufunzi na Wawakilishi kutoka Taasisi za MISA Tanzania na CIPESA kutoka nchini Uganda wakiwa katika picha ya pamoja baada mafunzi ya siku mbili yaliyoandaliwa na taasisi hizo yakiwa yamelenga kuwajengea Uwezo wa Kuandika na Kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu hapa nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza na Mmiliki wa Mtandao huu George Binagi-GB Pazzo akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Zenji Fm akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka gazeti Tuwasiliane Neema Joseph akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Radio Free Africa Paulina David akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Passion Fm Devota Sotel akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Star Tv Geita Salma Mrisho akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka gazeti The Citizen Mkoani Mara Beldina Nyakeke akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka gazeti Nipashe Mkoani Geita Renatus Masuguliko akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Storm Fm Radio ya Mkoani Geita Paul William akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka gazeti Raia Tanzania Geita John Sanjo akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka Victoria Fm Mkoani Mara Judith Mrope akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.
Kushoto ni Mwandishi wa Habari kutoka South Africa Broadcasting Corporation - SABC, Bigambo Jeje akipokea Cheti cha Ushiriki kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya CIPESA ya nchini Uganda Wairagala Wakabi iliyoshirikiana na Misa Tanzania kuandaa mafunzo kwa wanahabari Kanda ya Ziwa juu ya Kuandika na kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu nchini. 
Katikati ni mmoja wa Wakufunzi wa mafunzo hayo James Marenga ambae ni Mwanahabari mwandamizi na Wakili wa Mahakama Kuu nchini.

No comments:

Powered by Blogger.