LIVE STREAM ADS

Header Ads

UZINDUZI WA VIDEO YA MSANII ELIZAYO HB-NAFURAHI KUWA NAWE KUFANYIKA KIUTOFAUTI.

Msanii Chipukizi wa Bongo Fleva Kutoka Rock City Mwanza Elizayo HB (Wa pili kulia) anatarajia kuzindua Video ya Wimbo wake uitwayo Nafirahi kuwa Nawe kwa Style ya tofauti na pengiwe atakuwa msanii wa Kwanza Chipukizi kufanya hivyo Jijini Mwanza.

Na:George GB Pazzo
Elizayo anatarajia kuzindua Video hiyo Jumapili ya wiki ijayo Agosti 16, 2015 Kuanzia Mishale ya Saa Kumi za Alasiri ndani ya Rock Bottom Club, Gold Crest kwa kuwaalika Wageni mbalimbali ambao watakuwa majukumu mawili tu ambayo ni kuburudika katika uzinduzi huo pamoja na kum-support kwa kununua Video hiyo.

Hakutakuwa na Kiingilio na tayari kadi zimeanza kutolewa hivyo ukiwa mdau wa Muziki unakaribishwa sana.

Pichani juu ni baadhi ya Waalikwa ambapo kutoka Kushoto ni Tonny Yayo (Mdau wa Muziki), Rosier Paul (Staff  Metro Fm), Elizayo HB (Msanii) pamoja na Dr.Tonny Kapela (Presenter Metro Fm ambapo tayari wamepata kadi rasmi.
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Tonny Yayo (Kulia) ambae ni Mdau wa Muziki kutoka Jijini Mwanza.
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Rosier Paul wa Radio Metro Fm Jijini Mwanza.
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Dr.Tonny (Kulia) kutoka Radio Metro Jijini Mwanza.
Dr.Tonny akionyesha kadi yake...
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Meshack Magembe ambae ni Mdau wa Muziki na Supervisor @Magembe Security.
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Alex Gwido (Kulia) wa Radio Metro Fm.
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Sefroza Joseph (Kulia) wa Radio Metro Fm.
Msanii Elizayo HB (Kushoto) akimkabidhi kadi ya mwaliko Jey Kapongo ambae ni Producer wa Radio Metro.
Huu ndio Mwaliko Rasmi hivyo kila mmoja anakaribishwa zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.