LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI MEDIA GROUP YAKUTANA NA WADAU WA HABARI KUTOKA MISATAN, JAMII FORUMS NA AFYA RADIO.

Kulia ni George GB Pazzo ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa BINAGI MEDIA GROUP na Mwanahabari kutoka 99.4 Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza akibadilishana mawazo na Maxence Melo (Katikati) ambae ni Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums na Fikira Pevu pamoja na Afisa Utafiti na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika, Tawi la Tanzania MISATAN Sengiyumva Gasirigwa (Kushoto).
Picha na Idd Juma & Judith Mrope
Ni katika Semina kwa Waandishi wa Habari Kanda ya Ziwa juu ya namna ya Kuandika na Kuripoti Habari za Uchaguzi Mkuu iliyoandaliwa na MISATAN kwa Kushirikiana na Taasisi ya CIPESA kutoka nchini Uganda. 
Semina hiyo ilianza juzi Agosti 10 na kufikia tamati jana Agosti 11 katika Ukumbi uliopo Mwanza Hotel Jijini Mwanza.
Kulia ni Idd Juma ambae ni Mwanahabari kutoka 96.8 Afya Radio ya Jijini Mwanza akibadilishana mawazo na Maxence Melo (Katikati) ambae ni Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums na Fikira Pevu pamoja na Afisa Utafiti na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika, Tawi la Tanzania MISATAN Sengiyumva Gasirigwa (Kushoto).
Kulia ni Idd Juma ambae ni Mwanahabari kutoka Afya Radio ya Jijini Mwanza akibadilishana mawazo na Maxence Melo (Katikati) ambae ni Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums na Fikira Pevu pamoja na Afisa Utafiti na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika, Tawi la Tanzania MISATAN Sengiyumva Gasirigwa (Kushoto).
Kulia ni George GB Pazzo ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa BINAGI MEDIA GROUP na Mwanahabari kutoka 99.4 Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza akibadilishana mawazo na Maxence Melo (Katikati) ambae ni Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums na Fikira Pevu pamoja na Afisa Utafiti na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika, Tawi la Tanzania MISATAN Sengiyumva Gasirigwa (Kushoto).
Kulia ni George GB Pazzo ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa BINAGI MEDIA GROUP na Mwanahabari kutoka 99.4 Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza akibadilishana mawazo na Maxence Melo (Katikati) ambae ni Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums na Fikira Pevu pamoja na Afisa Utafiti na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika, Tawi la Tanzania MISATAN Sengiyumva Gasirigwa (Kushoto).
Kushoto ni George GB Pazzo ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa BINAGI MEDIA GROUP na Mwanahabari kutoka 99.4 Radio Metro Fm ya Jijini Mwanza akiwa pamoja na Maxence Melo (Katikati) ambae ni Mkurugenzi Mtendaji waKampuni ya Jamii Media inayomiliki Mitandao ya Jamii Forums na Fikira Pevu.
Kupitia Wadau hawa "Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii" inazidi kusonga mbele katika kuihabarisha jamii.

No comments:

Powered by Blogger.