LIVE STREAM ADS

Header Ads

KIPINDI CHA "JUKWAA LANGU" CHAJADILI KUNG'ATUKA KWA PROF.LIPUMBA, UMAARUFU WA MHE.LOWASA NA HOTUBA YA MHE.ZITTO.

Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii, tunajadili kuhusu kung'atuka Mwenyenyiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof.Ibrahimu Lipumba na pia kukua kwa ufuasi wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa kwa tiketi cha Chama cha Demkrasia na Maendeleo CHADEMA chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.

Pia, hotuba ya Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Mh.Zitto Kabwe huko Iringa, na mengineyo mengi.

Ungana na Dj Luke Joe (wa hapa), Rose Chitallah, Shamis Abdul (wa hapa) na Mubelwa Bandio (wa hapa) toka Kilimanjaro Studio, Beltsville Maryland na Jeff Msangi (msome hapa) kutoka Toronto Canada katika kipindi hiki.
Pia, kulikuwa na simu za wasikilizaji kadhaa
KARIBU

No comments:

Powered by Blogger.